Spika
 wa Bunge Afrika Mashariki,Mhe. Margret Natongo Zziwa akimkaribisha Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto)
 ili kulihutubia Bunge la Afrika Mashariki.Kulia ni Spika wa Bunge la 
Tanzania Mhe. Anne Makinda.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho 
Kikwete akilihutubia Bunge la Afrika Mashariki wakati alipofika 
kuzindua Ukumbi Mpya wa Bunge la Afrika Mashariki ulioko katika jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha.
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Spika
 wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akimpokea Rais wa Jamhuri ya 
Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipokuwa 
akiwasili katika jengo jipya la Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini 
Arusha kwa lengo la kuzindua Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki ulioko 
katika jengo hilo.
Spika
 wa Bunge la Africa Mashariki Mhe. Margret Natongo Zziwa (kulia) 
akimkaribisha Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda katika jengo 
hilo. Picha na Prosper Minja- Bunge.
No comments :
Post a Comment