
Meneja
 wa Mpango Taifa wa Damu Salama Dkt. Elesper Nyka akipokea mfano wa 
hundi yenye thamani ya shilingi milioni 32 kwa madhumuni la kushawishi 
jamii kujitolea kutoa damu kwa hiari.
Afisa
 Masoko wa kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo Bw. Alex Msigara 
(katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana
 na kampuni hiyo kudhamini Mpango wa Taifa wa damu Salama wenye 
madhumuni ya kuelimisha jamii mkoani Lindi kuhusu umuhimu wa utoaji damu
 salama. Kushoto ni Meneja wa Mpango Taifa wa Damu Salama Dkt. Elesper 
Nyka na kulia ni Tully Mwaikenda.

No comments :
Post a Comment