Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, akisoma Taarifa ya Chama kwenye mkutano mkuu wa CCM, Kizota, Dodoma, leo, 
 Waasisi
 wa Tanu na baadaye CCM, Mwadawa Ali (85) na Mohammed Makber (72) 
wakisoma gazeti ya UHURU la Chama Cha Mapinduzi, kabla ya mkutano 
kuanza. leo. 
Khadija Kopa (kushoto) akiimba wakati TOT ilipotumbuiza kwenye mkutano huo.Picha na Bashir Nkoromo



No comments :
Post a Comment