MARA
kwa mara jamii imekuwa ikisikia Wanajeshi wakiwapiga Askari wa Usalama
barabarani hasa Jijini Dar es Salaam Trafiki wa Moshi huenda
wamechoshwa na unyanyasaji huo kwa walinzi hawa wa amani na wasimamizi
wa sheria amapo huko Mkoani Kilimanjaro, Askari wa kikosi cha usalama
barabarani mjini Moshi ambao majina yao
hayakufahamika wakimpiga askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ)
katika kiktuo kikuu cha mabasi mjini hapa hivi karibuni,baada ya
kutokea kutoelewana,mwanajeshi huyo alikuwa akimtetea dereva wa Hiace
aliyeshikwa na trafiki hao.//Picha na Nakajumo James.
BALOZI MATINYI AHIMIZA WAFANYA BIASHARA KUSHIRIKI MAONESHO ALGERIA
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akipatiwa maelezo
ya namna kampuni ya Riad Hanieth Food Supplies ya Jordan yenye tawi lake
nchi...
2 days ago

No comments :
Post a Comment