Wafanyakazi
wa Kampuni ya Jambo Concepts, inayotoa magazeti ya Jambo Leo, Dar Metro
na Jarida la Jambo Brand wakichukua chakula, wakati walipokuwa
wakisherehekea kuaga mwaka 2012 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2013,
kwenye mgahawa wa City Sports & Lounge, unaomilikiwa na kampuni hiyo
juzi.
Wafanyakazi wa Jambo wakilainisha makoo kwa chakula safi na vinywaji kutoka mgahawa wa City Sports & Lounge.
Wafanyakazi wa Jambo wakila chakula safi kutoka mgahawa wa City Sports & Lounge.
No comments :
Post a Comment