Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, January 1, 2013

LOWASSA AZINDUA VIKOBA MONDULI;



Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasili kwenye kijiji cha Mswakini Wilayani Monduli tayari kwa hafla fupi ya uzinduzi wa vikoba katika kijiji hicho.Katikati ni Mkewe Mama Regina Lowassa aliefatana nae kwenye hafla hiyo ya Uzinduzi wa Vikoba.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwasalimia wananchi wa kijiji cha Mswakini Wilayani Monduli walipowasili tayari kwa hafla fupi ya uzinduzi wa Vikoba katika kijiji hicho.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa hotuba yake kwa wananchi wa kijiji cha Mswakini Wilayani Monduli wakati wa hafla ya uzinduzi wa VIKOBA kijijini hapo.Mh. Lowassa katika hotuba yake,amesema kuwa ushirika wa VIKOBA ni sawa na mshipa wa damu kwa sera ya maisha bora kwa kila Mtanzania,pia alisema kuwa kutokana na kutambua hivyo ushirika wa Vikoba utaanzishwa katika wilaya nzima ya Monduli.Miasha bora kwa kila Mtanzania ni sera aliyoingia nayo madarakani Rais Jakaya Kikwete.
Afisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Monduli,Bi Judith (kulia) akikabidhi kwa Mhe. Edward Lowassa hati maalumu ya uzinduzi wa Vikoba ili ikabidhiwe kwa Wananchi Mswakini Mondul
Baadhi ya wanachama wa Vikoba wa kijiji cha Mswakini Wilayani Monduli.

No comments :

Post a Comment