Pia alidai kuwa siku ambayo Sajuki anazikwa Wema
alikuwa Studio akirekodi ngoma yake mpya ambayo anatarajia kuitoa
mwanzoni mwa mwaka huu, ili na yeye ajiweke sawa katika tasnia hii ya
muziki wa kizazi kipya.
WAHADZABE ANAPOFARIKI HUTELEKEZA MWILI KWENYE MJI WAKE NA KURUDI BAADA YA
SIKU 30
-
Na Hamis Dambaya na Kassim Nyaki, Ngorongoro.
Jamii ya kabila la Wahadzabe ina historia ya kuvutia katika kila nyanja ya
maisha yao, watalii mbalimbali ...
22 hours ago

No comments :
Post a Comment