Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, February 21, 2013

CASTLE LAGER SUPER FANS WALIPOKUWA KWA MZE MADIBA.




Wawakilishi wa Tanzania katika timu ya ushangiliaji ya Afrika Filbert Nestory and Yahya Hamza wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika ya kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria
Filbert Nestory hapa akionyesha umahiri wake kwenye ushangiliaji kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria.
Wawakilishi wa kutoka nchi mbalimbali katika timu ya ushangiliaji ya Afrika wakiwa katika moja ya maeneo ya michezo nchini Afrika ya kusini wakati wakishiriki kwenye mjumuiko wa ushangiliaji kwenye mchezo baina ya bukinafaso na Nigeria.
Hivi ndivyo ilivyokuwa huko kwa Mze Madiba.

No comments :

Post a Comment