Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, February 26, 2013

WADAU WA VIWANDA VYA CEMENT AFRICA WAKUTANA KATIKA MKUTANO WA TANO NCHINI TANZANIA KUZUNGUMZIA KUKUWA KWA SEKTA YA CEMENT




 Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (kulia) akijadiliana jambo na wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika (katikati) Mkurugenzi wa kiwanda cha Twiga Cement Kanda ya Africa Mashariki, Pascal Lesoinne (kushoto) Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko. Mkutano huo wa siku mbili umeanza jijini Dar es Salaam Ferbruari 26. (Picha na Chris Mfinanga)
 Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko akijaongea na waandishi wa habari wa kituo cha Televisheni ya Taifa TBC wakatika wa Mkutano huo.
 Mkurugenzi wa biashara wa Kampuni ya Dangote, Dk Stanley CM Ko (katikati) akijadiliana jambo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Camel Oil Abdallah Nahdi (kulia) na Mshauri wa Biashara wa Kampuni ya Zabol Cement Arash Ehsanfar katika mkutano wa wadau wa viwanda vya cement tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika uliofanyika Dar es Salaam Februari 26 2013. Mkutano huo wa ni wa siku mbili.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wadau wa viwanda vya cement waliohudhuria mkutano wa tano kuhusu sekta ya cementi katika bara la Afrika Dar es Salaam Februari 26 2013

No comments :

Post a Comment