Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, February 8, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL ALIPOKUTANA NA SENETA STIVE KING KWA MAZUNGUMZO, WASHNGTON DC NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATZ WA WASHNGTON DC



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Seneta, Stive King, wakati alipofika katika Ofisi yake iliyopo katika jingo la Ofisi za Maseneta wa Marekani, akiwa katika ziara yake ya siku nne katika jiji la Washngton Dc nchini Marekani, Feb 6, 2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, Feb 6, 2013.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya viongozi wa Jumuiya ya Watanzania waishio Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Feb 6, 2013, katika Hoteli ya Omni Shoreham.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, nchini Marekani katika jiji la Washngton Dc, baada ya mazungumzo yao alipowasili jijini humo kuanza ziara yake ya siku nne, iliyomalizika jana Feb 7, 2013. Wa kwanza (kushoto) ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (wa tano kutoka kushoto) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, Mahadhi Juma Maalim.

No comments :

Post a Comment