Mkurugenzi wa Kasmpuni ya Konyagi akiwa\ na baadhi ya stafu wa kampuni hiyo na muhusika wa tuzo hizo
Mkurugenzi Mkuu wa TDL (KONYAGI) MR.David Mgwassa
Mkurugenzi Mkuu wa TDL (KONYAGI) Bw.Da\vidi Mgwassa akizungumza na
baadhi ya waaliokwa wa katika Hafla hiyo ya utoaji vyeti vya ubora wa
bidhaa
Mkuu wa masoko na mawasiliano wa NMB,Imani Kajula akipokea tuzo ya super brand kutoka kwa
mkurugenzi wa super brand East Africa Jawad Jaffer..
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014.
Baada ya miaka saba ya uwekezaji
endelevu katika kuboresha huduma, masoko na mtandao wa matawi. NMB sasa
inazaidi ya matawi 148, ATM zaidi ya 500, wateja wanaotumia NMB mobile
kupata huduma zaidi ya 800,000 na huduma mbadala kama intenet banking,
kituo cha huduma kwa wateja na POS. Wateja wa NMB sasa wanapata huduma
popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB. Maboresho hayo
yameiwezesha NMB kutunukiwa kuwa Super Brand mwaka 2013-2014. NMB imekua
namba moja katika sekta ya benki
mkurugenzi wa super brand East Africa Jawad Jaffer..
Baadhi ya wafanyakazi wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa NMB wakiwa na tuzo ya super brand 2013-2014.
No comments :
Post a Comment