Meneja
Mawasiliano wa
Vodacom Tanzania Bi.Rukia Mtingw(kulia) akiongea na Mshindi kwenye simu
ya mezani
wakati wa Droo ya kuwapata washindi wa shilingi Milioni 5 na
Milioni moja katika Promosheni ya"MAHELA"inayoendeshwa na
kampuni hiyo,ambapo wafanyabiashara ndogondogo wa Kagera na Dar es
Salaam, Rashid Kagombora na Adam Ramadhan wamejinyakulia kitita cha
shilingi Milioni
5. Wanaoshuhudia kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni hiyo, Matina
Nkurlu, Benjamin Michael,
ambaye ni Maneja wa Huduma za Ziada na Afisa Mkaguzi kutoka bodi ya
michezo ya
kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Salehe, Mteja anatakiwa kutuma
neno"MAHELA"kwenda
namba 15544 na kuweza kujishindia.Zaidi ya shilingi Milioni 400
zinaendelea
kushindaniwa. Picha kwa Hisani ya Vodacom Tanzania.
YANGA YAANZA VIZURI MASHINDANO YA CAF.
-
Kwa mara ya kwanza YANGA imefuta uteja wa kushindwa kupata matokeo mechi
za kwanza za makundi katika michuano ya kimataifa.
Ushindi wa goli moja ulitos...
1 day ago
No comments :
Post a Comment