Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, February 21, 2013

KIWANDA CHA BIA YA NZAGAMBA CHAZINDULIWA.




Kikundi cha Burudani cha ngoma za asili kikitumbuiza wakati wa uzinduzi kiwanda kipya cha Bia ya Asili  cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza kikitoa burudani ya kipekee  kwenye  uzinduzi  wa kiwanda kipya cha kutengeneza Bia ya Asli ambapo uzinduzi huo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo.
Meneja masoko wa kampuni ya Bia nchini TBL Fimbo Butallah akishiriki kushika nyoka kwenye burudani ya uzinduzi wa kiwanda kipya cha bia ya Asili cha NZAGAMBA kilichopo mkoani Mwanza ambapo uzinduzi huo ulifanywa na mkuu wa mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo

No comments :

Post a Comment