Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji ndugu, jamaa na marafiki wa familia
zilizoondokewa na watoto na wazazi kwa ajali ya gari maeneo ya kijiji
cha Kibiki, Ubena Zomozi katika mkoa wa Pwani Februari 11, 2013 iliyoua
watu wanane papohapo, wakiwemo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Chalinze baada ya gari dogo aina ya Toyota Mark II lililokuwa limebeba
abiria wanane kugongana uso kwa uso na roli.

Sehemu ya mabaki ya gari hilo lililopata ajali na kuua watu wanane.
Sehemu ya mabaki ya magari hayo yaliyopata ajali na kuua watu wanane.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji ndugu, jamaa na marafiki wa familia
zilizoondokewa na watoto na wazazi kwa ajali ya gari maeneo ya kijiji
cha Kibiki, Ubena Zomozi katika mkoa wa Pwani Februari 11, 2013 iliyoua
watu wanane papohapo, wakiwemo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Chalinze baada ya gari dogo aina ya Toyota Mark II lililokuwa limebeba
abiria wanane kugongana uso kwa uso na roli.
No comments :
Post a Comment