Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, February 4, 2013

SHIKAMANA YA ZINDUA MRADI WA UTOAJI ELIMU YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA SHULE ZA SEKONDARI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mratibu wa taasisi ya Shikamana  Brittany Karima Cesarini ( kulia ) akiwakabidhi vipeperushi   vyenye  ujumbe wa tuungane kutokomeza unyanyasaji, wanafunzi, Husna Methew wa shule ya sekondari ya Jitegemee na Moses Festo wa shule ya sekondari ya Mbezi Beach  na  wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule  mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam, ufunguzi huo ulifanyika  katika ukumbi wa Theater 1 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, leo.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na vitabu  vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia Nchini Tanzania wakati wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu ya  unyanyaaji wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano ya mazuri ya kimapenzi  kwa vijana .Shikamana  wamedhamilia kuleta mabadiliko juu ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote za unyanyasaji  na udhalilishaji  wa kijinsia.

No comments :

Post a Comment