![]() |
Waziri wa Miundmbinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (CUF) Hamad Masoud, amejiuzulu kufuatia ajali ya boti ya MV Skagit, iliyotokea zanzibar hivi karibuni na kusababisha watu kadhaa kupoteza maisha. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ameridhiakujiuzulu kwa Waziri huyo na amemteua Rashid Seif Selemani (Ziwani CUF) kushika nafasi hiyo. Huku makamo wapili wa Rais wa Serikali hiyo Balozi Seif Ally Iddi akisema uamuzi wakujiuzulu Hamad ni wake binafsi. |
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME
-
<div class="separator"
style="...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment