Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitupa mchanga kwenye kaburi la marehemu Mwalimu
James Irenge ambaye alikuwa ni Mwalimu wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius
Nyerere, katika mazishi yaliyofanyika, Butiama mkoani Mara Julai
26,2012. Katikati ni mkewe Tunu na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara,
John Tuppa.
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUSOMA KATIBA, SHERIA, KANUNI ZA TUME
-
<div class="separator"
style="...
8 hours ago
No comments :
Post a Comment