Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 26, 2012

Bunge lapitisha bajeti ya Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia




  Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, akizungumza na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya simu za mkononi ya  Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya ukumbi wa Bunge, mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara hiyo, kwa mwaka 2012/13, leo mjini Dodoma.

 Naibu Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kushoto), akiwa na Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Innocent Mungy, nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13.

Naibu Waziri, Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba akipongezwa na Mkurugenzi wa kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi ya Airtel Tanzania, Beatrice Singano nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13.

No comments :

Post a Comment