Mtuhumiwa wa
wizi wa umeme Jeilan Mohamed, akiongozwa na jeshi la polisi kupanda gari baada
ya kutuhumiwakuliibia umeme shirika hilo kwa njia ya kuunganisha kabla
haujafika kwenye mita (kubaipass) maeneo ya Buguruni Malapa jijini Dar es
Salaam.
|
Hpa akiondolewa ndani mwake na kwenda kwenye gari. |
Fundi
Mwandamizi wa Shirika la Umeme Tanzania Tenesco Didas Lwinga, akiwaonyesha
waandishi wa habari mita iliyofunguliwa na kubandikwa gundi (Super Glue) mara
baada ya kuing’oa.
|
No comments :
Post a Comment