Maisha popote pale iwe usiku iwe mchana mtu unaweza kujitafutia ridhiki
yako ni mmoja ya wafanya biashara makutano ya Barabara ya Uhuru na
Msimbazi akiwa ameuchapa usingizi huku akiwa katika biashara zake usiku
wa leo wafanya biashara wengi wa machinga wamekuwa wakiwakwepa mngambo
wakati wa mchana kutokana na kukamatwa na kupelekwa mahakamani kwa
makosa ya kufanya bihashara hizo
No comments :
Post a Comment