Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, July 22, 2012

KAVISHE ATEMBELEA KAMBI ZA MAZOEZI YA SIMBA NA YANGA



Wachezaji wa Simba SC wakimsikiliza George Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni mdhamini mkuu wa klabu hiyo alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam


 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na Kocha Mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet, alipoitembelea kambi ya mazoezi ya timu hiyo, ikiwa katika maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya kombe la Kagame dhidi ya Mafunzo ya Zanzibar utakaofanyika Jumatatu Julai 23 kwenye Uwanja wa Taifa. (Picha na Habari Mseto Blog)
Wachezaji wa Simba SC wakimsikiliza George Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni mdhamini mkuu wa klabu hiyo alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na nahodha wa timu hiyo Juma Kaseja (kulia) alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam. TBL ni mdhamini Mkuu wa vilabu vya Simba na Yanga. 
 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akizungumza na Kocha Mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet,
 Tumeelewana vijana wangu.
 Wachezaji wa Yanga wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na michuana ya Kagame hatua ya robo fainali.
 Kocha Mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet akizungumza na wachezaji wake baada ya mazoezi.

No comments :

Post a Comment