Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Msama
Promotion Bw. Alex Msama wakati alipotembelea bungeni leo mjini Dodoma
na kuongea na Mawaziri wabunge na viongozi mbalimbali wanaohudhuria
vikao vya Bunge mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makala
akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini Dodoma
leo.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makala
akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini
Dodoma leo.
Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh. Aden Rage akizungumza na Mtangazaji
wa TBC Shaban Kisu katikati ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex
Msama.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akizungumza na Mtangazaji wa
TBC Shaban Kisu kulia ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.
No comments :
Post a Comment