Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu
Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo jijini Arusha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude
Mbanya, baada ya kumaliza hotuba yake wakati akifungua rasmi
Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika,
lililoanza leo, jijini Arusha.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na baadhi ya watoto wanaishi na ugonjwa wa Kisukari kutoka
Mataifa mbalimbali ya Afrika, wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa
Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari kwa Nchi za Afrika,
lililoanza leo, jijini Arusha. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya na Ustawi
wa Jamii.
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na watoto waishio na ugonjwa wa kisukari,
baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa Kisukari
kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo, jijini Arusha.
Makamu
wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Kongamanao hilo.
Watoto hao wakiimba wimbo maalum wa mshikamano.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Rais wa ‘International Diabetes Federation’, Jean-Claude
Mbanya, baada ya kufungua rasmi Kongamano la kwanza kuhusu Ugonjwa wa
Kisukari kwa Nchi za Afrika, lililoanza leo, jijini Arusha.
No comments :
Post a Comment