Klabu ya African Lyon imefanikiwa kuitandika timu ya Majimaji ya Songea kwa magoli 2-0 katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara.Kocha msaidizi wa timu ya African Lyon Suleiman Matola amesema ushindi huo unawafanya kupata uhakika wa kuendelea kubakia kwenye ligi kuu Tanzania Bara msimu ujao.
Kufuatia ushindi huo sasa African Lyon imefikisha Jumla ya Pointi 23.
No comments :
Post a Comment