Mcheza soka wa Nigeria Endurance Idahor amefarikki Dunia baada ya kupoteza fahamau wakati wa mchezo uliyochezwa Khartoum, mji mkuu wa Sudan.
Idahor, mwenye umri wa miaka 25, ambaye alikuwa akiichezea klabu ya Al-Merreikh ya Sudan, aligongana na mchezaji mwingine muda mchache baada ya mchezo kuanza,
Taarifa hiyo imetolewa na uongozi wa Soka la Suadan.
"Lilikuwa ni tukio la kawaida la kugongana kwa wachezaji," anasema kiongozi ambaye hakutaka jina lake lkiandikwe na waandishi wa habari kwa sababu hakuwa ameteuliwa rasmi kuwa msemaji.
"Alianguka na sasa amefariki Dunia. It is a huge shock to Sudan's whole sporting family." anasema.
Imebainishwa Idahor alipoteza fahamu wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Sudan kati ya klabu ya El Mareikh na Al-Amal, mchezo ambao ulikuwa ukichezwa katika dimba la Al-Merreikh uliyopo jijini Khartoum maeneo ya Omdurman.
FEAJ KUTETEA HAKI ZA WAANDISHI
-
*Mwandishi wetu,Kigali*
Shirikisho jipya la Waandishi wa habari Afrika Mashariki(FEAJ) limeanzishwa
ili kusaidia kutetea haki na maslahi ya wafanyakazi ...
9 hours ago
Huyu mchezaji bwana yaelekea afya yake ilikuwa mgogoro, nadhani wangemchunguza before mech kuanza wangegundua hilo.
ReplyDelete