
Afisa habari wa YANGA LOUIS SENDEU amesema Tegete anatakiwa na DULKUD FF ya ligi daraja la pili nchini Sweden huku Razak akitakiwa na klabu ya Vancouver White Caps anakosukumia gozi kaka yake Nizar Khalfan na Msigwa yeye akitakiwa na timu ya HIGHRENDAZ.
Wakati huohuo maandalizi ya Uchaguzi mkuu wa klabu hiyo ya YANGA yanaendelea ambapo marekebisho ya katiba yamesambazwa katika matawi yote ya Tanzania ili wajiridhishe.
No comments :
Post a Comment