Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, July 3, 2012

KUELEKEA REDDS MISS HIGHER LERNING ISTITUTIONS WAREMBO WAENDA KUNOA BONGO MJENGONI. LENGO KUELEWA VIZURI MHIMILI HUO.




Washiriki wa Shindano hilo wakiwa mazoezini walikojichimbia huko Kunduchi jijini Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuelekea mjengoni Dodoma leo asubuhi.


Mashindano hayo yanatarajiwa kuwa na mvuto zaidi kutokana na washiriki wake wote kuwa ni wa vyuo vikuu hivyo wanatarajiwa kuweza kufanya mambo makubwa kutokana na uelewa wao.

No comments :

Post a Comment