Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, July 8, 2012

MWENGE WA UHURU WAZINDUA MRADI WAKUPANDA MITI



 Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Kapt. Honest Ernest Mwanossa akipanda mti kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa upandaji miti katika eneo la kiwanda cha Tanga Cement, Pongwe, Tanga juzi. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.
  Mkuu wa Wilaya ya Tanga Halima Dendegu (katikati) akiwa na Ofisa Mawasiliano wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor (kushoto) na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kapt. Honest Ernest Mwanossa (kulia) baada ya kuzindua mradi wa upandaji miti katika eneo la kiwanda cha kampuni hiyo jijini Tanga juzi. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.
  Kaimu Mkuu wa Idara ya Fedha wa kampuni ya Tanga Cement, Edgar Mlenge akipokea mwenge kutoka kwa wakimbizaji katika eneo la kiwanda chao wakati wa uzinduzi wa mradi wa upandaji miti katika eneo hilo jijini Tanga mwishoni mwa wiki. Jumla ya miti 13600 imepandwa katika mradi huo uliogharimu kiasi cha shs milioni 42.
Ofisa Utawala wa Tanga Cement, Changwa Mjella,  akipokea mwenge wa uhuru ulipowasili katika eneo la kiwanda chao tayari kwa hafla ya uzinduzi wa mradi wa miti. Mikaratusi 10,000 na mitiki 3600 imepanda katika eneo hilo.

No comments :

Post a Comment