Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, July 10, 2012

Mhadhiri aandika kitabu cha kufanya utafiti kwa kutumia kiswahili


Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiwaonyesha waandishi wa habari  (leo) jijini Dar es salaam kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandika utafiti kwa urahisi kwa kutumia lugha ya kiswahili. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya EGYS ambaye ni mchapishaji Mkumbo Mitula.


Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dar es salaam
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Tumaini Tawi Njombe Dr. Elia Shabani Mligo (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (leo) jijini Dar es salaam kuhusu kitabu chake alichoandika kitakachomsaidia mwanafunzi kuandaa kuandikKitabu hicho kitakuwa mitaani kwa shilingi elfu 10 tu.

No comments :

Post a Comment