Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, July 4, 2012

WAREMBO WA MISS VYUO VIKUU TANZANIA WATEMBELEA BUNGENI MJINI DODOMA LEO KUJIFUNZA SHUGHULI ZA BUNGE

 Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu 2012, siku ya Ijumaa wiki hii ndani ya Ukumbi wa Maisha Club, Jijini Dar es Salaam, wakipozi kwa picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo. 

 Warembo kutoka (kushoto) Migesh Boniface, kutoka Chuo cha CBE Mwanza, Hadija Said Kutoka Chuo cha MSJ, Morogoro, Fina Revocatus na Jane Maluli, wote kutoka Chuo cha IFM, wakipozi na kuonyesha smile la nguvu nje ya Ukumbi wa Bunge.
 Kutoka (kushoto) ni Mrembo Fina Revocatus, Jane Maluli, na Teddy Isaya, wote kutoka  kutoka IFM, wakipozi.
 Mrembo, Migesh Boniface, kutoka CBE Mwanza, akipozi kwa picha.
 Mrembo, Jane Maluli, kutoka IFM, akipozi kwa picha.
Kutoka (kushoto) ni Hadija Said, (MSJ) Mororogo, Renatha Richard (ST Augustino) Morogoro na Hilda Edward, kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama Dar es Salaam, wakipozi kwa picha zaidi tembelea http://sufianimafoto.blogspot.com/

No comments :

Post a Comment