Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo jinsi ya uzalishaji wa zao la Zabibu kutoka kwa Ofisa Mtafiti
Msaidizi wa Kilimo wa Kanda ya Kati Dodoma, Richard Malle, (wa pili kulia)
wakati Makamu alipotembelea katika Banda la Kilimo Kwanza, maonyesho ya Nane
Nane kwenye Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012. Wa kwanza
(kushoto) ni Naibu Waziri wa Chakula na Ushirika, Adam Malima. Kulia ni
Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Kati Dodoma, Leon Mroso.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, mkewe Mama Zakhia Bilal, Naibu Waziri wa Chakula na Ushirika, Adam
Malima, wakiangalia Mhogo aina ya Mumba wenye umri wa miaka (3) wakati Makamu
alipotembelea katika Banda la Kilimo Kwanza, maonyesho ya Nane Nane kwenye
Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012.Wa pili (kulia) ni Mke wa Makamu, Mama Zakhia Bilal na wa kwanza (kushoto) ni Naibu Waziri
wa Chakula na Ushirika, Adam Malima.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo kuhusu mbegu ya mizabibu, kutoka kwa Mkurugenzi wa
Utafiti wa Kilimo, Kanda ya Kati Dodoma, Leon Mroso (kushoto) wakati Makamu
alipotembelea katika Banda la Kilimo Kwanza, maonyesho ya Nane Nane kwenye
Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012.Kulia ni mke wa Makamu,
Mama Zakhia Bilal,(wa pili kushoto) ni Naibu Waziri wa Chakula na Ushirika,
Adam Malima.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo jinsi mashine za kukamulia miwa zinavyofanya kazi,
kutoka kwa Mjasiliamali, Patrisia Kisabua, wakati Makamu alipotembelea katika
Banda la Kiwanda cha Sukari, maonyesho ya Nane Nane kwenye Viwanja vya Nzuguni
mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012.Kushoto ni Naibu Waziri wa Chakula na
Ushirika, Adam Malima.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisikiliza maelezo jinsi ya uandaaji hadi kukamilika kwa Sukari tayari
kwa matumizi,kutoka kwa Mjasiliamali, Patrisia Kisabua, wakati Makamu
alipotembelea katika Banda la Kiwanda cha Sukari, maonyesho ya Nane Nane kwenye
Viwanja vya Nzuguni mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012.Kushoto ni Naibu Waziri wa
Chakula na Ushirika, Adam Malima. Wa tatu kutoka (kushoto) ni mke wa Makamu
Mama Zakhia bilal.
.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akikagua moja ya matrekta ya kuvunia mazao aina ya Mahindi, Ngano na
Mtama, wakati Makamu alipotembelea katika maonyesho ya Nane Nane kwenye Viwanja
vya Nzuguni mjini Dodoma jana Agosti 6, 2012.Kulia ni mke wa Makamu Mama Zakhia bilal.
No comments :
Post a Comment