Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, August 21, 2012

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' RAMADHANI SHAURI WASHINDA KWA T.K.O


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinuliwa mkono juu baada ya kumtandika mpinzani wake Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya 3 wakati wa mcheo wao wa kirafiki uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee wa pili kushoto ni Kocha wa bondia Class ,Rajabu Mhamila Super D.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Sako Mwaiseje kushoto akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' katika mpambano wao uliofanyika siku ya Iddi pili King Class Mawe alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na bondia Sande Kizito wa Uganda walkati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa IBF Afrca lililofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee Shauri alishinda kwa T.K.O raundi ya nane Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rajabu Mhamila Super D Boxing Coach Ashanti na Ilala wa pili kushoto akiwa na furaha ya ushindi baada ya bondia wake Ibrahimu Class kumpiga Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya tatu
Bondia Ramadhani Shauri kushoto akipambana na bondia Sande Kizito wa Uganda walkati wa mpambano wao wa kugombea ubingwa wa IBF Afrca lililofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee Shauri alishinda kwa T.K.O raundi ya nane Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akinuliwa mkono juu baada ya kumtandika mpinzani wake Sako Mwaiseje kwa T.K.O raundi ya 3 wakati wa mcheo wao wa kirafiki uliofanyika siku ya Iddi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments :

Post a Comment