Viongozi
wa Chama cha Filamu Tanzania wakiwa kikao cha kujadili namna ya
kupambana na maharamia wa kazi za wasanii nchini. Wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama
akiwa kwenye kikao cha pamoja na wadau wa Chama cha Filamu Tanzania
(TAFF), mwishoni mwa wiki kujadili na kupanga mikakati dhidi ya vita
hiyo inayolenga kupigania mafanikio ya wasanii.
Mwenyekiti
wa Bongo move Jacob Stevin 'JB' kushoto akizungumza na waandishi wa
habari Dar es salaam juu ya wizi mkubwa uliotokea hivi karibuni
uliofanywa na Kampuni ya Steps Entatainmenti kwa kushirikiana na wasanii
wenyewe na kudai kuwa tabia hii ikomeshwa kwa maharamia wa kazi za
wasanii. Kulia ni Msanii Vicent Kigos 'Ray' na Mwenyekiti wa Shilikisho
la Filamu Tanzania 'TAFF' Simon m Mwakifwamba
Viongozi wa Chama cha Filamu Tanzania TAFF wakionesha kazi Feki za wasanii walizokamata hivi karibuni.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionyesha CD na DVD feki
zenye thamani ya sh. milioni 11 zilizokamatwa katika eneo la Mbagala
jijini Dar es Salaam, wakati wa operesheni ya kuwakata wezi wa kazi za
wasanii inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa kushirikiana na Jeshi la
Polisi.
Mwasisi
wa kampeni ya kupambana na maharamia wa kazi za wasanii nchini, Alex
Msama (wa pili kushoto) akiwa kwenye kikao cha pamoja na wadau wa Chama
cha Filamu Tanzania (TAFF), mwishoni mwa wiki kujadili na kupanga
mikakati dhidi ya vita hiyo inayolenga kupigania mafanikio ya wasanii.
Alex Msama akionesha CD Feki pamoja na DVD walizokamata katika maeneo ya Mbagala.
Mashine za Kurudufu kazi Feki za wasanii.
Alex Msama akionesha CD Feki pamoja na DVD walizokamata katika maeneo ya Mbagala.
Mashine za Kurudufu kazi Feki za wasanii.
No comments :
Post a Comment