Mwenyekiti
wa Kijiji cha Emairete, Moran Poyoni akimkabidhi zawadi ya fimbo maalumu Mgeni
rasmi Makamu wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo wakati wa hafla ya kukabidhi
madarasa kwa shule ya Irmorijo yaliyokarabatiwa na Kampuni la Samsung na
kutangaza msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Sprit
Monduli Arusha
Wamasai
wa Kijiji cha Emairete Wilayani Monduli Arusha, Wakimpokea Mgeni rasmi Makamu
wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo aiyeambatana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika
Kasunga wakati wa kuwasili katika Shule ya msingi ya Irmorijo kwa hafla ya kuabidhi
madarasa yaliyokarabatiwa na Kampuni ya Samsung kutangaza kutoa msaada wa
milioni 144 sawa na dola za kimarekani 90,000 kwa ajili ya kusaidia shule ya
Msingi ya Irmorijo na Secondari ya Winning Spirit za Wilani Monduli Arusha
Wakiwasili kwa mapokezi
Wakiwasili katika Shule ya Msingi Irmorijo Monduli
Makamu
wa Rais wa Samsung, Choi Woo-Soo(katikati), Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Joika
Kasunga na Diwani wa Kata ya Monduli juu, Bariki Sumuni wakishangilia mara
baada ya kukata utepe kwa pamoja kuashira uzinduzi wa madarasa yaliyokarabatiwa
ukarabati wa Kampuni la Samsung ya Shule
ya Msingi ya Irmorijo Monduli Arusha ambapo Kammpuni ya Samsung ilitangaza
kutoa msaada wa milioni 144 kwa shule hiyo na Sekondari ya Winning Spirit
No comments :
Post a Comment