Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, August 14, 2012

TAIFA STARS YAKWEA PIPA TAYARI KWA MECHI YAO NA BOTSWANA



Nahodha wa timu ya Taifa, Taifa Stars Juma Kasseja akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano .
Wachezaji wa timu ya taifa, 'Taifa Stars' Mrisho Ngassa na Haruna Moshi 'Boban' wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.
Wachezaji wa timu ya Taifa,Taifa Stars wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ajili ya safari ya kwenda Gaborone, Botswana kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa kesho Jumatano.

No comments :

Post a Comment