Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, August 19, 2012

SANDE KIZITO WA UGANDA NA MTANZANIA RAMADHANI SHAURI WAMEPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI PILI



Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa  litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Rais wa TPBO Yasin Abdallah kulia akepeana mkono wa idi na Mtangazaji wa Radio Times Kondo walipokutana wakati wa sikukuu ya idi
Rais wa IBF Africa Onesmo Ngowi katikati akiwa  ameshikilia mkanda wa ubingwa wa IBF Africa utakaogombaniwa na Ramadhani Shauri wa pili kushoto na Sande Kizito wa Uganda kushoto ni Katibu wa TPBC Nemes Kavishe na Rais wa TPBO Yasin Abdallah

UBINGWA WA IBF AFRICA HADHARANI KESHO
Ramadhani Shauri wa Tanzania kushoto na Sande Kizito wa Uganda wakitunishiana misuri leo wakati wa upimaji wa uziti picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments :

Post a Comment