Mfanyabiashara ya mitumba katika soko la Saateni akitoa maelezo kwa 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  
alipotembelea eneo hilo jana.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiulizia 
bei ya viatu, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la biashara la 
Saateni mjini Zanzibar.maaarufu kwa jina la jua kali.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiangalia
 biashara ya mitumba, wakati alipofanya ziara ya kutembelea eneo la 
biashara la Saateni mjini Zanzibar.
 Mfanyabiashara wa soko la Saateni  Khamis Ali Mohd  akitoa maelezo kwa 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad  kuhusiana
 na hali ya kudorora kwa biashara katika soko hilo, wakati Maalim Seif 
alipotembelea eneo hilo jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
No comments :
Post a Comment