Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, August 21, 2012

Lunduno FC yanyakua kombe kwa panalt 6-5 za timu ya Nachingwea.




Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovick Mwananziraakikabidhi kikombe cha IMRAN Kwa Nahodha wa Timu ya Lunduno Fc baada ya kuibugiza  Timu ya Nachingwea kwa mikwaju ya penalti na kupata
jumla ya mabao 6 kwa 5
 Kikosi kilicho twaa ubingwa huo cha Timu ya Lunduno kikiwa kwenye picha ya pamoja na mashabiki wao.
Mdhamini wa Mashindano hayo Imran Traders,Mahamood Dhalla akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Ludovic Mwananzila na mratibu wa Mashindano hayo,Abdulaziz Ahmeid muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi katika uwanja wa Ilulu.
Mratibu wa Mashindano ya IMRAN CUP ,,Abdulaziz Ahmeid akitoa taarifa fupi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi kuhusiana na mashindano hayo yaliyoanza mwaka huu na kushindaniwa kila mwaka katika Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Ni kwa hisani ya Mdau Ahmed Abdullaziz Lindi.

No comments :

Post a Comment