basi
la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na
kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya
barabara kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 40
walijeruhiwa mkoani Morogoro.
Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya barabaraba kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 40 walijeruhiwa mkoani Morogoro.
Basi la kampuni ya Allys Sport Bus linalosafirisha abiria kutoka Dar es Salaam na Mwanza likiwa limeacha njia na kupinduka baada ya kutokea ajali inayodaiwa kusababishwa na basi la Shabiby lililokuwa likitokea mkoani Dodoma kwenda Dar es Salaam na kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la Mkundi Makunganya barabaraba kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali hizo zaidi ya abiria 40 walijeruhiwa mkoani Morogoro.
Askari wa Kikosi cha Usalam Barabarani Wakiwa Eneo la Tukio
WATU 45 wamejeruhiwa kwenye ajali baada ya mabasi matatu waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka eneo la Mkundi kwa Makunganya nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, katika Barabara ya Morogoro - Dodoma.
Mmoja wa majeruhi wa ajali ya basi la Shabiby, Deogratias Mrai akiwa katika wodi namba moja ya hospitali ya rufaa
ya mkoa wa Morogoro akiuguza majeraha aliyopata kufuatia basi hilo
walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka katika eneo la
Mkundi-Makunganya Manispaa ya Morogoro lililokuwa likitoka Dodoma kwenda
Dar es Salaam na kusababisha mabasi matatu kuacha njia katika eneo la
Mkundi Makunganya barabaraba kuu Dodoma-Morogoro ambapo katika ajali
hizo zaidi ya abiria 40 walijeruhiwa.
Picha na habari na Juma Mtanda, Morogoro WATU 45 wamejeruhiwa kwenye ajali baada ya mabasi matatu waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka eneo la Mkundi kwa Makunganya nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro, katika Barabara ya Morogoro - Dodoma.
Ajali hiyo ilitokea saa 2:30 asubuhi kwa kuhusisha mabasi matatu, Kampuni ya Shabiby lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Dar es Salaam, Allys Sport na Sumry yaliyokuwa yakitokea Morogoro kwenda Mwanza.
Baadhi ya majeruhi waliokuwa wakisafiri na basi la Shabiby walisema basi hilo lilianza kuyumba na baadaye kuacha njia kisha kupinduka.
Mmoja wa abiria hao, Rashid Shaaban alisema baada ya basi hilo kupinduka, ghafla waliona basi jingine la Sumry likiacha njia na kupinduka wakati lilipojaribu kulipita gari jingine jirani na eneo hilo.
Alisema kuwa wakati kukiwa na msongamano wa magari katika eneo hilo la ajali, basi jingine la Allys Sport liliacha njia na kupinduka na hivyo kutokea ajali tatu katika muda usiozidi dakika 10.
Shaaban alisema baada ya ajali hizo walitokea watu waliokuwa wakijifanya kutaka kutoa msaada, lakini lengo lao lilikuwa ni kuiba mali za majeruhi. Hata hivyo, alisema lengo lao hilo halikufanikiwa kwani muda mfupi baada ya kutokea, askari walifika na kuimarisha ulinzi.
Katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, madaktari na wauguzi walionekana kuzidiwa na wagonjwa kutokana na idadi kubwa ya majeruhi waliokuwa wakihitaji huduma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile alithibitisha kutokea kwa ajali hizo na kusema kuwa uchunguzi wa awali umebaini kuwa zimetokana na utelezi na mwendo kasi.
“Wenzetu
naweza sema wamekurupuka kwa kuwa hawajafuata sheria wakati ndugu yangu
Rage anajua kanuni na Sheria kwa hili namshangaa sana.”alisema
Mwesigwa.
Alisema
wao wameanza kufanya mchakato wa kumnasa beki huyo toka Novemba mwaka
jana kabla ya kuanza mazungumzo na Simba juu ya aliyekuwa beki wao
Kelvin Yondan na kusema kuwa walimtuma Mjumbe wa kamati ya Utendaji
Abdallah Binkrebu kumfuatilia toka kipindi hicho.
“Sisi
huyu mchezaji tumemsaka toka muda mrefu kabla hata ya Kagame kuanza na
mara baada ya kumalizika kwa Kagame tulikuwa tunaangalia kiwango chake
na kikaturisha.
"Binkrebu
akafunga safari na kwenda kuzungumza na uongozi wa timu yake ya Fc
Lupopo ya Kongo na wala sio APR, Simba wao wamenunua mali ya wizi wakati
sisi tumeenda kwa mwenye mali.
No comments :
Post a Comment