kwenye Mafunzo ya matumizi ya Internet kwenye ukumbi wa chuo cha SAUT Mtwara leo. Mwandishi wa Blog ya Raha za Pwani Mkoani Lindi, Ahmed Abdullaziz naye akiwa kwenye mafunzo hayo yaliyofanyika leo Mkoani Mtwara.
Waandishi wengine kutoka vyombo mbalimbali wakiperuzi mitandao wakati wa mafunzo hayo.
Hapa wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo. |
WAANDISHI wa
habari nchini wametakiwa kuachana na matumizi pekee ya
internet kuandika habari badala yake kutafuta habari uhalisia wake.

Hayo yameelezwa na
waandishi wa habari wakati wa mafunzo ya matumizi ya internet
kwa waandishi wa mikoa na wilaya za Lindi na mtwara yaliyoandaliwa na
MISA TAN kwa ufadhili wa mfuko wa vyombo vya habari, Mawasiliano na
Maendeleo Finland yanayoendelea katika ukumbi wa chuo kikuu cha Stella
Maris mkoani Mtwara.

Licha ya kuwepo kwa njia rahisi ya upatikanaji wa habari
kupitia
mitandao ya internet hapa nchini waandishi wametakiwa kufuatilia
habari halisia kuepukana na kuwepo na mitandao ya uongo inayopotosha
jamii.
Kwa upande wake mratibu wa mafunzo hayo Andrew Marawiti, kutoka Misa
Tanzania akieleza malengo ya mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo wa
matumizi ya internet katika upatikanaji wa habari mbalimbali na
uhalisia wake ili kuepuka na mitandao inayolenga kupotosha jamii.

Jumla ya waandishi wa habari 20 kutoka mikoa ya lindi
na mtwara
wanapata mafunzo ya matumizi ya internet yanayotolewa na Taasisi ya
maendeleo ya Habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania(MISA
TANZANIA)chini ya Ufadhili wa Mfuko wa vyombo vya Habari, Mawasiliano
na Maendeleo Nchini Finland (VIKES FOUNNDATION)

Na Ahmed Abdullaziz-Lindi
No comments :
Post a Comment