Baadhi ya wanachama waliojitokeza
kwenye zoezi la uhakiki wa Chama Kipya Cha Siasa nchini (ADC) wakisubiri
zamu yao kuhakikiwa na maofisa wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa
nchini jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Wanachama waliojitokeza
ambapo jijini Dar es Salaam pekee wamepata wanachama zaidi ya 400, ikiwa
ni sehemu ya mwisho kufanyiwa uhakiki ili kupata usajili wa kudumu.
Maofisaa wa Ofisi ya Msajili wa vyama
vya siasa nchini wakihakiki kadi za wanachama na taarifa zao kwenye
zoezi hilo jijini Dar es Salaam leo.
Afisa wa ofisi ya msajili (kushoto) akisoma majina ya watu wanaotakiwa kufanyiwa uhakiki leo jijini Dar es Salaam leo
No comments :
Post a Comment