Rais
Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati
alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu
awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa (kushoto), Jaji Mkuu Othman
Chande (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik
(watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana
jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini
Dar es Salaam kwa ajili ya viongozi mbalimbali serikalini. (Picha na
Freddy Maro).
TISEZA YAITA WAZAWA KUWEKEZA KWALA
-
Kaimu Meneja Uhusiano na Mawasiliano kwa Umma Mamlaka ya ya Uwekezaji
na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) Adrina Rushakya
amesema...
15 hours ago
No comments :
Post a Comment