Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi
aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na
umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akishitiki katika kumuombea dua Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi
aliyekuwa Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
Jumatatu Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na
umri wa miaka 88, pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akitoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Rashid Kazinyingi aliyekuwa
Shekhe Mkuu wa kijiji cha Msata, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani Jumatatu
Agosti 6, 2012. Marehemu Mzee Kazinyingi, aliyefariki jana akiwa na umri wa
miaka 88 pia alikuwa kada wa siku nyingi wa CCM.
No comments :
Post a Comment