Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitia saini maazimio ya wakuu wa nchi za
Maziwa Makuu mwishoni mwa mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya
Speke’s Bay Resort,Munyonyo, KaMPALA, Uganda.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Mkutano wa
wakuu wa nchi za Maziwa Makuu,Rais Yower Kaguta Museveni wa Uganda
mwishoni mwa mkutano huo uliomalizika leo jijini Kampala Uganda.
Waziri
wa Mambo ya nje Bernard Membe na Meya wa Jiji la Dar es Salaam
Dkt.Didas Masaburi wakimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda
mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere akitokea jijini Kampala Uganda ambapo alihudhuria mkutano
wa wakuu wan chi za Maziwa Makuu. Picha na Freddy Maro
No comments :
Post a Comment