Na Gladnes Mushi wa Fullshangwe-Arusha
Wananchi waishio katika mabonde ambayo ndio vyanzo vya maji
nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa wanayatunza mazingira ya mabonde ili
kuwezesha kupatikana mazingira mazuri yatakayopelekea kupatikana na
maji ya uhakiika pamoja na Mvua.
Hayo yamesemwa na mtaalamu wa maji katika bonde la mto pangani Bw.
Jero Boam Riwa wakati akiongea na wadau wa maji wakati wakiwa
kwenye ziara ya kutembelea vyanzo mbali mbali vya maji wilayani
arumeru.
Alisema kuwa uharibifu wa mabonde ni tatizo kubwa ibika kmbalo
linafanya kuhar ibika kwa mazingirhia hali ambayo inachangia kuwepo
kwa mabadiliko ya tabia nchi ambayo yanaasababisha nchi kukumbwa na
ukame.
Amesema kuwa rasilimali Maji inahitaji sana Utunzaji wa maji
na isipotunzwa kila kitu kinarudi nyuma ikiwemo kilimo kwanza umeme hivyo
kunaumuhimu mkubwa wa taasii kushirikiana katika kuzuia ili kuzuia taifa
kuangamia.
Pamoja na hayo amewataka watanzania kutambua sheria ya
hifandhi ya vyanzo vya maji inayotaka kukaa umbali wa mita zipatazo 60 kutoka
katika chanzo chochote kile cha maji ili kutunza mazingira hayo
ambapo ni muhimu sana kaitka swala zima la kuthibiti uhariabifu wa
mazingira

No comments :
Post a Comment