Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akionyesha kitabu kiitwacho Lighting Fire
kilichoandikwa na wanasayansi 31 Mabingwa wa Kitanzania baada ya
kukizindua kwenye ukumbi wa Tume ya taifa ya Sayansi na Tekinolojia,
Kijitonyama jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Makame Mbalawa na Kulia ni
Rais wa Tanzania Academy of Science (TAAS), Profesa Esther Mwaikambo.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Dodoma, Profesa, Idris Kikula baada ya kuzindua kitabu kiitwacho
Lighting fire kilichoandikwa na wanasayansi 31 mabingwa wa kitanzania,
kwenye ukumbi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Tekinoloji, Kijitonyama
jijini Dar es salaam Agosti 2, 2012. Kushoto ni Mkamu Mkuu wa Chuo Kikuu
Huria cha Tanzania, Profesa Tolly Mbwete
KAGERA SUGAR WAICHAPA TRANSIT CAMP NYUMBANI
-
Timu ya soka ya Kagera Sugar ya Bukoba jana wametoka kifua mbele kwa
ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Timu ya Transint Camp kwenye mchezo wa ligi
daraja...
1 day ago
No comments :
Post a Comment