Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia
utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na
wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St
Gaspar mjini Dodoma

Gaspar mjini DodomaWaziri katika ofisi ya Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe Idris Jala akitoa mada ya utangulizi katika warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Washiriki wakimsikiliza Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati akifungua warsha kuhusu mfumo wa kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo kwa mawaziri, makatibu wakuu na wakuu wa taasisi za serikali leo Agosti 4, 2012 katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
Rais Kikwete, Makamu wa Rais Dk. Muhammed Gahrib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Anna Makinda na viongozi wengine waliohudhuria warsha hiyo, wakiwa katika picha ya pamoja
No comments :
Post a Comment