Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Street Children Sports Academy TSC ya
Mwanza Bw. Mutani Yangwe akizungumza na waandishi wa habari leo katika
ofisi za Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF Karume wakati akielezea
mafanikio ya timu ya Academy yao waliyoyapata kutoka nchini Ujerumani
na kunyakua mataji mbalimbali na zawadi kemkem. amesema takribani
wachezaji saba wamefanikiwa kupata ofa ya kufanya majairibio nje watatu
wakihitajika katika timu ya Makabi Haifa ya Israel na wengine wanne
wakipata ofa kwenda nchini Sweden ambako watapitia kisha kwenda nchini
Ujerumani.
Katikati katika picha ni Altaf Hirani Rais wa kituo hicho na kushoto ni kocha wa kutuo hicho Bw. Rogashian Kaijage
Altaf Hirani
Rais wa Taasisi ya Tanzania Street Children Sports Academy TSC ya Mwanza
akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi za shirikisho la
mpira wa miguu nchini Tanzania TFF kulia ni Mkurugenzi wa TCS Mutani
Yangwe na kushoto ni Mmoja wa maofisa wa kituo hicho B. Leonard Magomba.
No comments :
Post a Comment