Maafisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara wakiwa katika Banda la Wizara
hiyo katika Viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma tayari kutyoa huduma kwa
wageni watakaotembelea banda hilo.
.Baadhi ya Wajasiriamali kutoka Mikoa mbali mbali nchini wakishiriki
mafunzo yanayotolewa na taasisi mbali mbali zilizo chini ya Wizara ya
Viwanmda na Biashara ili kuwawezesha kufanya kazi zao kwa tija. Mafunzo
hayo hutolewa bure kila siku asubuhi kabla ya kuanza kwa maonesho.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Vicent Kone akipokelewa na maafisa wa
Wizara ya Viwanda na Biashara alipotembelea banda la Wizara hiyo katika
Viuwanja vya Nzuguni mjini Dodoma.
06. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Vicent Kone akipata maelezo ya
bidhaa mbali mbali za mjasiriamali anayewezeshwa na na Wizara ya Viwanda
na Biashara katika maonesho ya 88 mjini Dodoma
|
Kaimu Kurugenzi wa Idara ya Mtangamano wa Biashara Bw Ismael Mfinanga na
Mkaguzi wa ndani wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bi Asia Mohamedi,
wakipata maelezo ya kazi mbali mbali zinazofanywa na wajasiriamali chini
ya Wizara ya Viwanda na Biashara. |
|
No comments :
Post a Comment