Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Wednesday, March 13, 2013

HEINEKEN YAZINDUA MICHUANO YA FOOSBALL KWA MASHABIKI WA LIGI YA MABINGWA YA ULAYA (UEFA CHAMPION’S LEAGUE) NCHINI TANZANIA.


Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo kulia akichecheza mchezo wa foosball na Meneja masoko wa Heineken Tanzania, Coreline Kakwezi wakati wa uzinduzi wa michuano hiyo kwa ajili ya mashabiki wa ligi ya mabingwa ya Ulaya iliyozinduliwa Dar es salaam jana.Picha na www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wana habari wakiwa katika uzindizu huo leo katikati ni Super d

wana habari Maulidi Kitenge kulia na Tom Chilala wakipeana mikono walipokutanishwa na HEINEKEN
Wadau mbalimbali wa michezo wakifatilia

ZAWADI ZA WAGENI WAALIKWA ZIKIINGIZWA
Koen Morshuis, Mkurugenzi Mkuu wa HEINEKEN Afrika Mashariki alisema “Heineken  kulia akimkabizi zawadi Mkurugenzi wa Michezo Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo

Mshehereheshaji wa Uzinduzi uho

Ephrahim kibonde

No comments :

Post a Comment